Mlinzi wa timu ya Jamhuri Mohamed Othuman
Mmanga (16) akimdhibiti mshambuliaji wa timu ya Chipukizi Abdullatif Abdallah,
ili asilete madhara katika lango lake, kwenye mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar ‘Grand Malt’ mchezo uliochezwa jana uwanja wa
Gombani Pemba, ambapo Chipukizi ilifanikiwa kutoroka na magoli 3-0 dhidi ya
Jamhuri (picha na Haji Nassor, Pemba )
Nahodha wa timu ya Jamhuri Mfaume Shaaban
(jezi no 29) akipapatuana na mshambuliaji wa timu ya Chipukizi Faki Mwalimu
kwenye mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar ‘Grand
Malt’ uliochezwa uwanja wa Gombani ambapo Chipukizi iliibuka na ushindi wa
magoli 3-0 mawili yakifungwa na Faki Mwalimu (picha na Haji Nassor, Pemba )
No comments:
Post a Comment