Habari za Punde

Misumeno ya moto yateketezwa Pemba

 
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Major Mstaafu Juma Kassim Tindwa, akizungumza na wananchi na viongozi wa Serikali katika hafla ya kuteketeza misumeno ya moto (chanson) halfla iliofanyika jana Idara ya Kilimo Machomane Chake chake Pemba, kulia ni Ofisa Mdhamini Wizara ya Kilimo na Maliasali Pemba dk Suleiman Shehe Mohamed na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bakari Assedi (picha na Haji Nassor, Pemba)


Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Major Mstaafu Juma Kassim Tindwa, wa tatu kushoto, akiwa na watendaji wa ngazi mbali mbali za Serikali pamoja na makamanda wa Polisi wakiangalia mabaki kwenye hafla ya kuiteketeza misumeno sita ya moto huko Idara ya Kilimo Machomane Chake chake Pemba (picha na Haji Nassor, Pemba)   

1 comment:

  1. Sasa what is the story hapa? Is the story kuteketezwa misumeno? Unajua ingekuwa ni bangi ningejua tatizo. lakini misumeno ina tatizo gani?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.