Katibu Mkuu wa Chama cha ADC Kadawi Lucas Limbo, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Bububu Zuhura Mohammed Bakari, anagombea uwakilishi kupitia cha hicho akitambulishwa katika Kampeni ya Uzinduzi uliofanyika katika viwanja vya mpira Kijichi.
Katibu Mkuu wa Chama cha ADC Kadawi Lucas Limbo, akimtambulisha Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Bububu Zuhura Mohammed Bakari, kwa Wananchi wa Jimbo hilo katika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni wa Chama zilizofanyika katika viwanja vya mpira kijichi Bububu..
Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Bububu Zuhura Mohammed Bakari, akitowa sera za Chama chake kwa Wananchi wa Jimbo la Bubuubu katika mkutano wa uzinduzi wa Kampeni yao. zilizofanyika katika viwanja vya mpira kijichi Bububu..
No comments:
Post a Comment