Habari za Punde

Dk Shein awafariji wafiwa wa Marehemu Koplo Said

 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis,(katikati) akitoa nasaha zake kwa wanafamilia wa Marehemu Koplo Said Abdulrahman Juma Hassan wa Jeshi la POLISI
,alipofika kukabidhi fedha kwa ajili ya Ubani kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,nyumbani kwa wafiwa Nyerere Mjini Zanzibar leo ,wengine kushoto Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Said Ali Mwema, (kushoto) na kutoka kulia Kamishna wa Polisi Zanzibar Mussa Ali Mussa na Afisa Tawala Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahamoud,),
 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Abdalla Mwinyi Khamis,(kulia) akikabidhi fedha kwa ajili ya Ubani kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,nyumbani kwa wafiwa wa Marehemu Koplo Said Abdulrahman Juma Hassan wa Jeshi la Polisi, Nyerere Mjini Zanzibar leo ,kwa niaba ya wanafamilia wa marehemu Baba Mdogo Juma Omar Salum,(wa pili kushoto),akipokea ubani, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Said Ali Mwema,(wa pili kulia) na Baba Mzazi wa Marehemu,Abdulrahman Juma Hassan,(kushoto)
 
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.