Habari za Punde

Mama Mwanamwema Shein atoa mkono wa Idi kwa wazee

 WAZIRI wa Ustawi wa Jamii Maendeleo ya Wanawake na Watoto Mhe. Zainab Omar Mohammed, akimkabidhi zawadi za Mkono wa Eid kwa Wazee wa Kijiji cha Welezo, a akimuwakilisha   Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kutowa mkono wa Eid Al Hajj
 WAZIRI asiyekuwa na Wizara Maalum Mhe Shawana Buheti akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, kutowa mkono wa Eid Al Hajj kwa Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.