Habari za Punde

Semina - Kuimarisha uhusiano kati ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji Unguja

 Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee,akiwasilisha mada ya Mafanikio katika ziara ya Viongozi na Watendaji wa SMZ Nchini China,katika Semina ya Siku tatu ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,iliyoanza leo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
 Watendaji wa Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,wakisikiliza mada iliyotolewa katika Semina ya Kuimarisha uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na kiutendaji katika Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,iliyoanza leo katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,semia hiyo metayarishwa na Serikali ya Mapinduzi kwa kushirikiana na UNDP
 Watendaji wa Idara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,wakisikiliza mada iliyotolewa katika Semina ya Kuimarisha uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na kiutendaji katika Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,iliyoanza leo katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,semia hiyo metayarishwa na Serikali ya Mapinduzi kwa kushirikiana na UNDP


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed,akichangia mada katika Semina ya Siku tatu ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,iliyoanza leo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein
 Mshauri wa Rais Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mohamed Ramia Abdiwawa, akichangia mada iliyotolewa katika Semina ya Siku tatu ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,iliyoanza leo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zahra Ali Hamad,akichagia mada wakati wa Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar,iliyoanza leo katika Ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Fatma Fereji
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,pia Mwenyekiti wa Semina ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,akiongozo semina hiyo katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort,(kulia) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad
Baadhi ya Wajumbe wa Semina ya siku tatu ya Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,wakisikiliza mada ya mafanikio yaliyopatikana katika ziara za Viongozi na Watendaji wa SMZ NchiniChina,iliyofanyika katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort

Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.