Habari za Punde

Watalii wakitembelea mji mkongwe



WATALII wakitembelea mitaa ya historia ya mji mkongwe wakiwa katika mtaa wa baghaani, ulioko katika maeneo ya mji mkongwe wa Zanzibar.Wakati mitaa ya mji mkongwe ikiwa katika hali ya utulivu. na kuendelea na shughuli zake za kitalii kwa wageni wanaotembelea maeneo hayo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.