Habari za Punde

Bandari ya Zanzibar hutowa huduma kwa meli zenye ukubwa tafauti.

 Bandari ya Zanzibar  hutowa huduma kwa Meli kubwa za Mizigo na makontena, bandari hiyo ina uwezo wa kufunga gati meli kubwa kama hii inavyoonekana picha ikishusha makontena katika bandari hiyo na kupakia
.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.