Kijiko cha Idara ya Ujenzi wa barabara kikiondoa kifusi katika barabara ya Mkapa ( darajabovu) ili kuendelea na ujenzi wake wa awamu ya pili ya ujenzi wa barabara hiyo ulioanza ujenzi wake ili kukamilisha barabara hiyo inayotokea Amaan hadi Mtoni kambi ya jeshi.inayoungana na barabara ya bububu.
Barabara hii ambayo ilipewa jina la Mkapa kwasababu ya Rais Mstaafu wa Jamhuri ya muungano Benjamin Mkapa kutoa ahadi ya kutoa fedha kukamilishwa. Fedha hii kwa mujibu wa taarifa za serikali ya Muungano ilitolewa na kukabidhiwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
No comments:
Post a Comment