Habari za Punde

Kikosi cha Timu Gani Hichi

Wadau kazi kwenu kuijuwa timu hii na kutowa majina ya wachezaji na uwanja gani ipo. Kazi kwenu kuitambua na majina yao.

4 comments:

  1. Hiyo ni timu ya Zanzibar Kombaini.Waliyomo humo katika picha ni pamoja na Ambar,Dingo,Chunda,Salhina,Golikipa Shah,Salum Kishore,Shafi.Hao ni baadhi ambao nawakumbuka waliomo katika hiyo picha.

    ReplyDelete
  2. Nadhani hii ni timu ya Miembeni ya enzi hizo. Ninayemfahamu kwa haraka ni wa kwanza kushoto waliosimama ni Ambar ( mdogo wake Malik) aliesimama kati kati ni Yussuf Omar Chunda,pembeni mwa chunda kulia ni Ghulam Abdullah? timu hii kama sikosei ilikuwa na kina Salihina winga machachari wa enzi hizo

    ReplyDelete
  3. Suala la uchokozi, enzi hizo walikuwa wakicheza kumi tu uwanjani?

    ReplyDelete
  4. Hichi kikosi cha Timu ya miembeni miaka hiyo hapo kuna Ambar chunda,Gulam Mgeni Mwalimu salihina ambao nawakumbuka

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.