Habari za Punde

Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM Ukiendelea katika Ukumbi wa Kizoto Dodoma leo.




 Mjumbe wa Halmashauri Kuu yaCCM na Waziri Mkuu Mizengo Pinda  akiwasilisha  taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi kwa Serekali ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu yaCCM  na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi kwa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar
 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania Dk. Kikwete akizungumza wakati wa mkutano Mkuu wa CCM Kizota.
 Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi wakifuatilia hutuba.
 Wake wa Viongozi kushoto Mama Asha Balozi Seif Mama Mwanamwema Shein, Mama Tunu Pinda na Mama Anna Mkapa wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Kizota.
 Wajumbe wakifurahia jambo wakiwa katika ukumbi wa Mktano Kizota Dodoma.

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Nane wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia, wakiwa na vibao vya Mikoa yao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.