Beki wa timu ya Zimamoto Ashraq Hamad, akijiaribu kumzuia mshambuliaji wa timu ya Super Falcon, Omar Mohammed.
Mshambuliaji wa timu ya Super Falcon akimpiga chenga beki wa timu ya Zimamoto Suleiman Sheha.
Golikiwa timu ya Zimamoto akiokoa mpira bila ya mafanikio na kuingia goli la kusawazisha kwa timu ya Super Falcon.
Wachezaji wa timu ya Super Falcon wakishangilia goli lao la kusawazisha katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan, timu hizo zimetoka sare ya 2--2
Golikipa wa timu ya Zimamoto Khamis Uzidi, akiokoa moja ya shambulio golini kwake.
Mshambuliaji wa timu ya Super Falcon Othman Khalid, akimruka kipa wa timu ya Zimamoto Kamis Uzidi, baaada ya kuokoa moja ya hatari golini kwake huku beki wake Suleiman Sheha akijiandaa kuokoa mpira huo.
Kocha wa timu ya Super Falcon, akiwa haamini matokeo ya mchezo wa timu yake na timu ya Zimamoto uliofanyika uwanja wa amaan, timu hizo zimetoka sare ya 2--2
No comments:
Post a Comment