Habari za Punde

Askari wa Usalama Barabarani akiwa kazini.

Askari wa Usalama Barabarani akiongoza magari katika barabara ya darajani, ili kupunguza msongamano wa magari katika barabara hiyo na kusababisha msongamano wa magari kuwa mkubwa katika barabara hiyo,na kusababisha usumbufu kwa watumiaji wake.
 Hapa hakuna ajali ila ni baadhi ya madereva hutumia sheria za barabarani kwa kuleta ubishi na kusababisha msongamano wa magari kama inavyoonekana pichani  magari yakiwa katika foleni kusubiri kupita.
 Hii sio ajali ni ubishi wa maderevya wa magari haya wakiwa na ubishi wa kila mtu akitaka kupita bila ya kumpisha mwezake na kusababisha msongamano wa magari katika barabara hii ya darajani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.