Habari za Punde

Ujenzi wa Bandari ya Meli Azam Marine SeaLink.

Ujenzi ukiendelea wa kuweza kuegesha meli ya Mpya ya Azam Marine, ikiendelea na ujenzi wake kwa kasi ili kuwezesha kufunga gati katika eneo hilo lilolotengwa kwa ajili ya meli hiyo inapoaza kazi ya kutowa huduma ya Usafiri kwa Wananchi wa Unguja  Pemba na Dar-es-Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.