Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akifunguwa Mkutano wa 34 wa Jumuiya ya Kiafrika ya Utumishi wa Umma, akifungungwa mkutano huo kwa Niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini.
Wajumbe wakisikiliza hutuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa AAPAM, katika ukumbi waZanzibar Beach Resort
Waziri wa Utumishi wa Umma Celina Kombani, akitowa machache na kumkaribisha mgeni rasmin, kufunguwa mkutano huo.
Wajumbe wa Mkutano wa AAPAM wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa mktano wa 34 wa AAPAM.
Rais wa AAPAM, Abdon Agaw Jok Nhial, akitowa hutuba ya jumuiya hiyo wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo wa 34 AAPAM,
No comments:
Post a Comment