Habari za Punde

Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nane wa CCM Dodoma

 Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, akisalimiana na Rais Msataafu wa Zanzibar Dk. Salimin Amour Juma  wakiwa katika viwanja vya Kizota , wakati wa Mkutano Mkuu wa CCM, uliofanyika Mjini Dodomo.   
 Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe Jakaya Kikwete, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, na kushoto Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Pius Msekwa na Katibu Muu wa CCM Wilson Mkama wakiingika katika ukumbi wa mkutano.
 Viongozi wa meza Kuu wakiimba wimbo wa Chama cha Mapinduzi wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma.


 Wake wa Viongozi wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa akifunguwa Mkutano Mkuu wa CCM.

 Viongozi wa Vyama vya Siasa wakiwa wageni waalikwa katika Mkutano Mkuu wa CCM wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM  Taifa  Jakaya Mrisho Kikwete.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.