Msimamizi wa Uchanguzi Anna Makinda, akimpongeza Mwenyekiti wa CCMTaifa Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kutangazwa mshindi na msimamizi wa Uchaguzi. akiwa na Makamu wake wa CCm Zanzibar nae amepata ushindi wa kishindo kwa kura zote za ndio, akifuatiwa na Mjumbe wa Halmashauku Kuu ya CCM na Makamu wa Rais waJamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal.

Wajumbe wakishangilia baada ya kutangazwa mshindi Dk. Jakaya Kikwete na Makamu wake Wawili wa Zanzibar na Bara. katika ukumbi wa Kizota Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Dk. Jakaya Kikwete akiwa na furaha baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo akiwa na Makamu Mwenyeketi wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein na Makamu Mwenyekiti Bara Phillip Mangula. wakiwa katika meza kuu katika ukumbi wa mkutano kizota.
No comments:
Post a Comment