Habari za Punde

Wajasiriamali Wakitangaza Bidhaa za Zanzibar kwa Wajumbe,


 Mjumbe wa Mkutano wa 34 wa AAPAM, akiangalia bidhaa za wajasiriamali  katika viwanja vya hoteli ya Zanzibar Beach Resort. Wajasiriamali wa Zanzibar wakitangaza bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na vikundi vya Wajasiriamali akingalia mafuta ya Ubuyu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.