Habari za Punde

Zanzibar ni Kitovu cha Lugha ya Kiswahili Afrika Mashariki






1 comment:

  1. Naomba nieleweshwe huu mgongano wa lugha ya Kiswahili hapa. Kamusi la kwanza linaitwa "Kamusi la lahaja LA kitumbatu. Jengine linaitwa Kamusi la lahaja YA kimakunduchi na jengine Kamusi la lahaja YA kipemba.
    Sasa ni lahaja YA au LA? Hebu tuelewesheni wajuzi wa Kiswahili.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.