Mwenyekiti wa Mkutano wa kutoa Mada ya Monitaring & Evaluation to Improved Service Delivery,Nkechi Elete, akiongoza mkutano huo kwa wajumbe wa mkutano wa AAPAM.
Mtowa mada ya Monitaring & Evaluation to Improved Service Delivery, Dk. Finlay Sana Doh. akitowa mada hiyo kwa wajumbe wakati akiwasilisha mada hiyo katika mkutano wa 34 wa Jumuiya ya Afrika ya Utumishi wa Umma uliofanyika Zanzibar katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Mr. Faustin Clovis, akitowa mada yake inayozungumzia Monitoring & Evaluation to Improved Service Delivery, kwa Wajumbe.
Wajumbe wakifuatilia mada zinazowakilishwa na watowa mada katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar
Mtowa mada ya Monitaring & Evaluation to Improved Service Delivery, Dk. Josephine Mwanzia, akifafanua moja ya michango iliowasilishwa katika mada yake aliyoitoa katika mkutano wa 34 AAPAM
Mjumbe akichangia mada katika mkutano wa jumuiya ya AAPAM, katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Mjumbe akichangia mada katika mkutano wa AAPAM.
Sekretarieti ikifanya kazi yake wakati wa mkutano huo.
Mwenyekiti wa Mkutano katika kuchangia mada hiyo Mr. Goerge Ross, akitowa maelezo kwa wajumbe wakati wa kutolewa kwa mada ya Enhancing Accountability Transparency and Trust in Govorment Through Perfomance Management, wakati wa mkutano wa 34 wa AAPAM, ulifanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Dk.Matayuka Busiena. akitowa Mada ya Enhancing Accountability Transparency and Trust in Govorment Through Perfomance Management, katika Mkutano wa 34 wa AAPAM kwa wajumbe.
Mrs.Nirmala Govender,kutoka Ethekwin Municipality Performance Management Unit Office of the City Manager, akitowa Mada ya Enhancing Accountability Transparency and Trust in Govrment Through Perfomance Management, katika Mkutano wa 34 wa AAPAM kwa wajumbe. waliohudhuria mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort Zanzibar.
Mr. Gad Ruzaaza, Mwanafunzi wa Phd Uganda management Institute, akitowa Mada ya Enhancing Accountability Transparency and Trust in Govorment Through Perfomance Management, katika Mkutano wa 34 wa AAPAM kwa wajumbe.
Wajumbe wakiwa makini kufuatiliana michango na mada zinazotolewa na Wajumbe katika mkutano wa 34 wa AAPAM, uliofanyika katika ukumbi wa Karume, hoteli ya Zanzibar Beach Resort.
Wajumbe wakisikiliza Mada zinazowakilishwa na Wajumbe katika mkutano huo.
MC wa Mkutano wa AAPAM Ali Halil. akitowa maelekezo wakati wa Mkutano huo ukiendelea katika ukumbi wa Karume hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.
Jopo la Sekretarieti ikichukuwa miniti katika Mkutano wa Jumuiya ya Afrika ya Utumishi wa Umma, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wakifuatilia michango na mada zinaowakilishwa katika mkutano huo.
No comments:
Post a Comment