Habari za Punde

Maadhimisho ya siku ya Ukimwi

 Wananchi mbalimbali waliohudhurika katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . wakisoma majarida ya Ukimwi yaliotolewa kwa ajili ya kijifunza masuala ya Ukimwi.huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar
 Wananchi kutoka sehemu mbalimbali wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya kufanya Maandamano ya Kuadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.


 Mwananchi wa Kijiji cha Mangapwani akitoa Damu kwa ajili ya Kuchunguzwa kama ameambukizwa VVU ama bado katika Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
 Wanafunzi kutoka Skuli ya Regeza Mwendo,Langoni na SOS wakitoa elimu ya Ukimwi kwa Njia ya Mchezo wa Kuigiza katika Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 . huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B Zanzibar.
Waziri wa Afya Juma Duni Haji akikata utepe katika Kitabu ikiwa ni Ishara ya Uzinduzi wa Mkakati wa Awamu ya Pili wa Uhamasishaji na Utetezi dhidi ya Ukimwi,huko Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini B katika Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani yanayofanyika kila ifikapo Tarehe 1Disemba 2012 Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.