
Wachezaji wa Zanzibar Heroes na wa Kenya wakiwani mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Nambole Jijini Kampala

Wachezaji wa Zanzibar Heroes na wa Kenya wakiwani mpira wakati wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Nambole Jijini Kampala.

Wachezaji wa Zanzibr Heroes wakishangilia goli la pili lililofungwa na Aggrey Morris kwa njia ya penelti wakati wa mchezo wa nusu fainali ya kwanza ya michuano ya Cecafa Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela uliopo Nambole Jijini Kampala
Picha kwa hisani ya Shafi dauda

Kikosi cha Zanzibar Heroes kilichopambana na timu ya Taifa ya Kenya

Kikosi cha Harambee Stars ya Kenya kilichopambana na Heroes

Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakiwa hawaamini kilichotokea baada ya Mike Baraza kufunga bao la pili la kusawazisha

Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakishangiria kwa njia ya kumshukuru Mungu baada ya Khamis Mcha 'Vialli' kuandika bao la kwanza

Khamis Mcha alipomuacha beki wa Kenya akibaki kutazama tu

Adeyom Ahmed akiudhibiti mpira kwa kujiamini pamoja na kumdhibiti beki wa Kenya

Beki wa Zanzibar, Aggrey Morris akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili kwa penalti, Uwanja wa Mandela, Namboole katika Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge usiku wa leo. Zanzibar ilifungwa kwa penalti 4-2 na sasa itamenyana na Bara katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu Jumamosi.
No comments:
Post a Comment