Waziri wa nchi ofisi ya Rais fedha uchumi na maendeleo Zanzibar Omar Yusuph Mzee akizungumza na Waziri wa Fedha Uchumi na Mipango wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt William Mgimwa wakati wa mkutano huo
Mwenyekiti wa mkutano kujadili changamoto za muungano mh. Mohamed Aboud Mohamed, Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Serikali ya mapinduzi Zanzibar na mwenyekiti mwenza mh Samia Suluhu Hassan, Waziri wa nchi ofisi ya Makamu wa rais Muungano wakijadili jambo wakati kwa mkutano huo
Baadhi ya Mawaziri katika mkutano wa kujadili changamoto za Muungano mjini zanzibar leo
Picha zote na Ali Meja wa Ofisi ya Makamo wa Rais
Hivi vikao vinaharibu fedha za walipa kodi tu, badala ya kutatua kero vinazidisha kero. Hawana moja la maana wanalolifanya.
ReplyDelete