Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna akisalimiana na Mlezi wa Mashindano ya Karume Cup na Chama cha Mpira wa Kikapu Zanzibar, Mama Shadya Karume. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Polisi. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Polisi.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna, akizinguwa mchezo wa Fainal ya Kombe la Karume Cup mpira wa Kikapu uliofanyika uwanja wa Gymkhana. 
Kikosi cha timu ya Rangers kilichushiriki mchezo wa fainal ya Karume Cup.na kuibuka mshindi wa vikapu 77 - 76.
Kikosi cha timu ya Polishi mshindi wa Pili wa Karume Cup.baada ya kufungwa na timu ya Rangers katika mchezo wa fainal uliofanyika uwanja wa Gymkhana. 77-76.
Mashabiki wa mchezo wa Kikapu Zanzibar wakishangilia timu yao ya Rangers baada ya kuibuka kidedea katika mchezo wa Fainal ya Kombe la Karume Cup, mchezo uliokuwa wa vuta nikuvute kwa pande zote mbili za mchezo huo.
Mlezi wa Chama cha Mpira wa Kkikapu Zanzibar na Mlezi wa mashindano ya Karume Cup, Mke wa Rais wa Rais Mstaaf wa Zanzibar Mama Shadya Karume, akitowa nasaha zake kwa Washiriki wa mashindano hayo baada ya mchezo wa fainal kati ya timu ya Polisi na Rangers uliofanyika uwanja wa Gmykhana. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna,
akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Karume Cup, Nahodha wa timu ya Rangers Faruok Ramadhan,baada ya timu yao kushinda katika mchezo wa fainal uliofanyika katika uwanja wa Gymkhana timu ya Rangers imeshinda kwa Vikapu 76--77. 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna, akimkabidhi Kombe la ushindi wa Pili Nahodha wa timu ya Polisi Said Ali Mansabi. timu ya Polisi imeshika nafasi ya Pili baada ya kufungwa katika mchezo wa fainali na timu ya Rangers kwa Vikapu 76--77.
Mlezi wa Mashindano ya Karume Cup na Baraza la Mpira wa Kikapu Zanzibar Mama Shadya Karume, akimpongeza Nahodha wa timu ya Africa Magic Aisha Mbaraka baada timu yaokuwa mshindi wa Kwanza
Wanawake mchezo wa Basketi Kombe la Karume, wakati wa mchezo wa fainali ya
mchezo huoiliofanyika uwanja wa Gymkhana 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna akimkabidhi Kombe la Ushindi wa Pili Wanawake Nahodha wa timu ya Lakes Wanawake.kwa kumwa mshindi wa Kombe la Karume.
Washiri wa michuano ya Karume Cup, wakimsikiliza Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, akitowa nasaha zake na kukabidhi zawadi kwa washindi wa Karume Cup Basketi Ball.katika viwanja vya Gymkhana. baada ya mchezo wa Fainali kati ya Polisi na Rangers.
No comments:
Post a Comment