Habari za Punde

Kombe la CCM Miaka 36 Jangombe na Kwahani

 Wapenzi wa timu ya Jimbo la Jangombe wakisherehekea timu yao baada ya kufunga bao la pili kwa timu ya dhidi ya timu ya Jimbo la Kwahani, katika mchezo wa kusherehekea miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi, mchezo uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Jimbo la Jangombe imeshinda 2--1 
 Mshambuliaji wa timu ya jimbo la Kwahani Ali Said mwenye mpira akimiliki mpira huku beki wa timu ya Jangombe Salum Ali akijaribu kumzuiya.
 Wachezaji wa timu za Jangombe na Kwahani wakiwania mpira wakati wa mchezo wa Kombe la CCM Wilaya ya Mjini kusherehekea miaka 36 ya Chama cha Mapinduzi zinazofanyika uwanja wa Mao timu ya Jimbo la Jangombe imeshinda 2--1



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.