Rais wa ZFA Taifa Amani Ibrahim Makungu, akiongozana na Viongozi wengine wakisalimiana na wachezaji wa timu ya Bandari Zanzibar.
Wachezaji wa timu yaJamuhuri wakiwasalimia wachezaji wa timu ya Bandari kabla ya kuaza kwa mchezo wa Kombe la mapinduzi uliofanyika katika uwanja wa Mao timu ya Jamuhuri imeshinda 2-1
Beki wa timu ya Bandari Harthi Khamis (kushoto) akikokota mpira kuondoa hatari golini kwaki wakati wa mchezo wa kombe la mapinduzi.
Mchezaji wa timu ya Jamuhuri kulia Msafiri Leornad kulia na mchezaji wa timu ya Bandari Masoud Ali, wakiwania mpira katika mchezo wa kombe la mapinduzi lililofanyika katika uwanja wa mao,timu ya Jamuhuri imeshinda 2-1.
Mchezaji wa timu ya Jamuhuri Bakari Fadhil, akimpita mchezaji wa timu ya Bandari Jaffar Ali, wakati wa mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Mao.timu ya Jamuhuri imeshinda 2-1.
Kiongozi wa Timu ya Simba Kaburu na Mwenyekiti wa ZFA Taifa Amani Makungu wakifuatilia mchezo wa Kombe la Mapinduzi
Wapenzi wa mchezo wa mpira Zanzibar wakifuatilia mchezo wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika uwanja wa Mao timu ya Jamuhuri imeshinda 2-1
Rais wa Chama cha Mpira Zanzibar ZFA Amani Ibrahim Makungu mwenye simu akizungumza na Mwenyekiti wa ZFA Wilaya ya Mjini Unguja Hassan Haji Chura, wakiwa katika uwanja wa Mao wakifuatilia mchezo wa Kombe la Mapinduzi kati ya Jamuhuri na Bandari uliofanyika katika uwanja huo timu ya Jamuhuri imeshinda 2--1
No comments:
Post a Comment