Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo
kaburini wakati wa mazishi ya msanii Sajuki leo katika makaburi ya Kisutu
jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu
Sajuki wakati wa mazishi ya msanii
huyo leo katika makaburi ya Kisutu
jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete
wakiwa nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo ambako walienda kutoa pole
leo Januari 4, 2013.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha
maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo Januari
4, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha
maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam leo Januari
4, 2013.(Picha na Ikulu )
No comments:
Post a Comment