Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwapongeza Wananachi pamoja na Viongozi wa Jimbo la Magomeni na Amani kwa juhudi zao za kujijengea uwezo wa kihuduma za afya ya Msingi kwenye maeneo yao.
Baadhi ya Wananchi wa Majimbo ya Magomeni na Amani wakionekana wenye sura za furaha wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Kituo cha nyongeza cha Afya cha Sebleni kiliomo ndani ya Nyumba za Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment