Habari za Punde

Meli ya Kampuni ya Azam Marine yaaza Safari zake za Pemba na Zanzibar

 Meli ya Kampuni ya Azam Marine ikiondoka katika bandari ya Zanzibar kuelekea Kisiwani Pemba baada ya kupakia abiria, Hali ya Usafi kati ya Zanzibar na Pemba umekuwa wa uhakika baada ya meli hii kuaza kutoa huduma hiyo ya usafiri kama inavyoonekana pichani. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.