Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la Bohari Kuu ya Dawa,Maruhubi Nje ya Mji wa Zanzibar jana ikiwa ni shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya zanzibar,(kulia) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la Bohari Kuu ya Dawa,huko Maruhubi Nje ya Mji wa Zanzibar jana ikiwa ni shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya zanzibar,(kulia) ni Naibu waziri wa Afya Sira Ubwa Mamboya na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Bohari Kuu,Said Mohamed,(kulia) alipotembela sehemu ya kuhifadhia Dawa,baada ua Uzinduzi wa Jengo la Bohari Kuu ya Dawa huko Maruhubi Nje ya Mji wa Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za kilele cha miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya zanzibar,(wa tatu kushoto) Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisikiliza Maelezo kutoka kwa Meneja wa Bohari Kuu la Madawa Zanzibar, Said Mohammed wakati wa uzinduzi wa Bohari hilo liliopo Maruhubi Mjini Zanzibar jana.Kulia Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt na wa pili kushoto Naibu Waziri wa Afya Dk.Sira Ubwa Mamboya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na wafadhili wa Mradi huo baada ya kulifunguwa Jengo la Bohari Kuu ya Madawa Zanzibar Maruhubi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisikiliza Maelezo kutoka kwa Meneja wa Bohari Kuu la Madawa Zanzibar, Said Mohammed wakati wa uzinduzi wa Bohari hilo liliopo Maruhubi Mjini Zanzibar jana.Kulia Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt na wa pili kushoto Naibu Waziri wa Afya Dk.Sira Ubwa Mamboya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein akihutubia katika uzinduzi wa Bohari Kuu la Madawa Zanzibar,kulia Naibu Waziri wa Afya,Dk.Sira Mamboya na kushoto Balozi wa Marekani Nchini Tanzania,Alfonso Lenhardt.Uzinduzi huo umefanyika Maruhubi Mjini Zanzibar
WAFANYAKAZI wa Bohari Kuu la Madawa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati akifungua Jengo jipya la Bohari ya Madawa liliopo Maruhubi Wilaya ya Mjini
MFAMASIA wa Kwanza Zanzibar,Mzee Talib Mahadhi (katikati) akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein wakati wa uzinduzi wa Jengo jipya la Bohari Kuu la Madawa liliopo Maruhubi Mjini Zanzibar. zamani kilikuwa kiwanda cha sigara Zanzibar.
Hili ndilo jengo la Bohari Kuu la Madawa Zanzibar likionekana pichani.
No comments:
Post a Comment