Habari za Punde

Mahafali ya 12 Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani Zanzibar.UKWANI g

 Waziri wa Elimu na ,Mafunzo ya Amali Zanzibar  AliJuma Shamuhuna na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chuo Abrahaman  Muhailan, wakiingia katika viwanja vya sherehe za Mahafali ya Chuo hicho Chukwani.
  Waziri wa Elimu na ,Mafunzo ya Amali Zanzibar  Ali Juma Shamuhuna, akikata utepe wa jengo jipya la Madarasa ya Chuo hicho wakati wa sherehe za Mahafali ya Chuo hicho kushoto  Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chuo Abrahaman  Muhailan..
 Wahitimu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Chukwani Zanzibar  wakiwa katika viwanja vya sherehe wakisubiri kutunukiwa Shahada zao.
 Mwanafunzi Omar Ali Abdalla akisoma Quran wakati wa sherehe za mahafali ya 12c ya Chuo hicho.
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna, akitowa nasaha zake wakati wa Mahafali ya 12 ya Chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Zanzibar.
 Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani Dk. Hamed Rashid Hekmani, akitowa maelezo ya maendeleo ya Chuo hicho katika Sherehe za Mahafali ya 12.
 Vice Chancellor  (IUA) Shekh. Mahady Saty, akitowa nasaha zake wakati wa mahafali hayo. 
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Shekh. Abrahaman Muhailan, akiwatunuku Shahada Wahitimu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Chukwani wakati wa Mahafali ya 12 ya Chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Zanzibar.
 Wahitimu wa Shahada ya Science Education -Biology / Chemistry wakitunukiwa Shahada yao katika Viwanja vya chuo hicho Chukwani Zanzibar.



 Band ya Brass band ya Jeshi la Polisi Zanzibar ikitowa burudani wakati wa sherehe za kuwatunukia Shahada Wahitimu wa Chuo cha Elimu Chukwani Zanzibar.
 Wanafunzi na Wazazi wakifuatilia sherehe za mahafaliya Chuo hicho Chukwani Zanzibar.

 Wazee wa mnato wakijaribu kuchukuwa picha ikiwa ni kumbukumbu kwa Wahitimu. 
 Walimu wa Chuo cha Elimu Chukwani wakifuatilia sherehe za mahafali ya 12 ya Chuo hicho yaliofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Zanzibar.
 Wahitimu wa Kesho wa Elimu ya juu wakifuatilia sherehe hizo kuwashuhudia wazazi wao na nduzu zao wakitunukiwa Shahada zao katika viwanja vya Chuo Chukwani.


 
 Mwanafunzi Bora kwa Jumla Abass Hussein, katika somo la Geography akikabidhiwa zawadi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamuhuna.
 Mwanafunzo Bora wa Phy/Math, Saleh Mohammed Juma akikabidhiwa zawadi yake na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.
  Mwanafunzo Bora wa Phy/Math, Sabra  Mohammed Omar akikabidhiwa zawadi yake na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.