Habari za Punde

Ligi Kukati ya Zanzibar Mtande Rangers na Zimamoto imeshinda 1- 0

 Golikipa wa timu ya Mtende Rangers akiushindikiza mpira kwa macho baada ya kushindwa kuuokoa, mpira huo uliopigwa na mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Hakim Khamis,timu ya zimamoto imeshinda 1--0 
Mshambuliaji wa timu ya Zimamoto Hakim Khamis akiwa na mpira huku beki wa timu ya Mtende Rangers Said Yussuf, akijaribu kumzuiya, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Mao timu ya Zimamoto imeshinda 1--0 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.