Wadau wa Habari wakiwa Kigoma kufatilia maadhimisho ya sherehe za Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika Kitaifa Mkoani Kigoma leo, wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Mhe. Abrahaman Kinana akizungumza jamba na wanahabari hao wakati wakimngojea Mhe. Jakaya kwasili.
MRADI WA TACTIC KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI JIJINI MWANZA
-
# Sekta ya uvuvi nayo yaguswa.
Mwanza.
Ujenzi wa Barabara ya Buhongwa-Igoma yenye urefu wa Km 14 kwa kiwango cha
lami inayojengwa katika Halmashauri ya J...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment