Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiweka mchanga katika kaburi kwa ajili ya kumzika marehemu Hashul Nassor katika makaburi ya Nyamanzi, Wilaya ya Magharibi Unguja.
Waziri wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis Bakar akiweka mchanga katika kaburi kwa ajili ya kumzika marehemu Hashul Nassor katika makaburi ya Nyamanzi, Wilaya ya Magharibi Unguja.
Wananchi mbali mbali wakimsalia marehemu Hashul Nassor katika msikiti wa Kibweni “Silver sand”. Marehemu alifariki jana katika hospitali kuu ya Mnazimmoja na kuzikwa katika makaburi ya Nyamanzi, Wilaya ya Magharibi Unguja. (Picha na Salmin Said, OMKR)
No comments:
Post a Comment