Waheshima Taarifa Kamili ya Maziko ya Mpendwa Shekh.wetu Nassor Bachu yatafanyika Kesho katika Msikiti wa Kikwajuni Saanne Asubuhi
Kwa taarifa ya jamaa wa marehemu waliitowa marehema amefarikia majira ya saa nne asubuhi ya yale, baada ya kuuguwa kwa muda mrefu, marehemu alisafirisha Mjini Dar-es-Salaam kwa matibabu zaidi.kwa kipindi alikuwa akipata matibabu katika hospitali za Mjini Dar. hatima marehemu amerejeshwa nZanzibar na kuendelea na matibabu.
Shekh. Nassor alikuwa akipata matibabu kwa jamaa zake nje kidogo ya mji wa Zanzibar katika maeneo ya Chukwani hadi mauti yanamkuta leo asubuhi alikuwa chukwani Zanzibar.
Maziko yatafanyika kesho katika msikiti wa Kikwajuni na kuzikwa Kijijini kwao Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja.Zanzibar.
Mwenyezi Mungu amlaze pema peponi
Inalilah wa Innalirajuhun.
Asalam alaykum,
ReplyDeleteJitahidini kwenye Uandishi wakti mwengine hata hatuelewi, na inaleta maana tofauti.
Wabillahi tawfiq