Mhe. Viwe Khamis Abdalla akiwa na mshangao baada ya timu yao kufungwa katika mchezo wa nusu fainal uliofanyika amaan.
Mheshimiwa wa Jimbo la Kwahani Ali Salum akiwa na hofo haamini kama timu yake imeshinda katika mchezo huo.
Mchezaji wa timu ya Kusini Pemba akimpita beki wa timu ya Mjini kushoto katikamchezo wa Nusu Fainal wa Kombe la Dk.Shein kuadhimisha miaka 36 ya CCM.
Wapenzi wa timu ya Mkoa wa Mjini Kichama wakishangilia timu yao wakati ikicheza na timu kutoka Kusini Pemba, katika mchezo wa Nusu Fainal iliofanyika uwanja wa Amaan timu ya mjini imeshinda 5-1
No comments:
Post a Comment