Mjumbe wa Kamati Kuu ya Hamashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akiyaongoza matembezi ya mshikamano Mkoani Singida akiwa Mlezi wa Mkoa huo Kichama.Kulia ya Balozi ni Mheshimiwa Mbunge John Chiligati na Kushoto ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif wakipasha viungo mara baada ya kumaliza Matembezi ya mshakamano hapo Ofisi ya CCM Mkoa iliyopo Mtaa wa Irembe Mjini Singida.Kulia ya Balozi ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Nd. Ngana Izumbe na Kushoto ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi na Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Bibi Naomi Mpambala.
Wanachama wa CCM Mkoani Singida wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Balozi Seif hayupo pichani akihutubia mkutano wa hadhara kuadhimisha miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM hapo Wilaya ya Ikungi
Wanachama Wapya wa Chama cha Mapinduzi wakilakiapo cha Utii kwa Chama cha Mapinduzi Baada ya kukabidhiwa kadi wakatika wa sherehe za kuadhimisha miaka 36 ya kuzaliwa kwa CCM, ziliazidhishwa kwa matembezi ya Mshikamano yalioongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Singida.
No comments:
Post a Comment