Habari za Punde

Mwaliko wa Mkutano Waandishi

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  
  04/02/2013
 

Mnaarifiwa kwamba Mkurugenzi wa shirika la elimu, sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO Bi. Irina Bokova kesho atakuwa na Mazungumzo na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hoteli ya Serena mjini Zanzibar.

Baada ya Mazungumzo hayo Mkurugenzi huyo anatarajiwa kufanya Mkutano na Waandishi wa habari. Mazungumzo hayo yataanza saa 2.30 asubuhi.

Waandishi mnaalikwa kuhudhuria katika Mkutano huo.

Kwa heshima mnaombwa kuzingatia wakati.

IMETOLEWA NA MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.