Habari za Punde

ZANCANA Yatowa Vifaa kwa Watoto Wenye Ulemavu Zanzibar.

Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej, kushoto akikabidhiwa Vifaa kwa ajili ya Watu Wenye Ulemavu kutoka kwa Msimamizi wa jumuiya ya Wazanzibar wanaoishi Nchini Canada (ZANCANA) Bishara Al Masroori,makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Watu wenye Ulemavu Zanzibar, Vifaa visaidizi vya Watu wenye Ulemavu vilivyotolewa na Jumuiya ya  Wazanzibari wanaoishi Canada {ZANCANA} Kupitia mwakilishi wao aliyepo Zanzibar Bwana Abdalla Issa.ni pamoja na {Wheel chair 6 , Hand stick 7, Crach 6, Baby walker 4, Toys  na Pempas box 2 }



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.