Habari za Punde

Waziri Mbarouk azindua Digitali Zanzibar


Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali wakimsikiliza Waziri wa Habari,Utalii Utamaduni na Michezo, Said Ali Mbarouk (hayupo pichani) akizungumzia jinsi ya utaratibu wa Digitali utakavyoanza na upatikanaji wa Vingamuzi huko  ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar.
Waziri wa Habari,Utalii Utamaduni na Michezo, Said Ali Mbarouk akizungumza na wandishi wa habari jinsi ya utaratibu wa Digitali utakavyoanza na upatikanaji wa Vingamuzi huko  ukumbi wa Salama, Bwawani Mjini Zanzibar.
PICHA NA YUSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.