Habari za Punde

Baraza la Habari Tanzania Lawafanyia Mazungumzo ya Asubuhi Waandishi wa Habari Zenji......

Mwenyekiti wa Mkutano huo Jaji Mshibe Ali Bakari, wa Mazungumzo ya Asubuhi na Waandishi wa habari Zanzibar, akitowa maelezo ya umuhimu wa kupata habari na kutowa kwa usahihi kwa wananchi, wakati wa kujadili Mada ya Haki ya Kupata Habari na Umuhimu Wake.Ilioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania.uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Mazsons Shangani. 
Mtoa Mada ya Haki ya Kupata Habari na Umuhimu Wake (Mjumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba) Ali Saleh akitowa mada yake kwa Waandishi wa Habari na Viongozi wa Vyama vya Siasa na wa Taasisi za Kijamii Zanzibar.


Muandishi wa Mkongwe Zanzibar  Enzi Talib akichangia mada katika mkutanohuo kuhusu umuhimu wa kupata habari, wakati wa Mkutano wa Asubuhi uliokuwa ukizungumzia Mada ya Haki ya Kupata Habari na Umuhimu Wake , kwa waandishi wa habari wa Zanzibar ilioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania.
 Waandishi wakisikiliza Mada ikiwasilishwa katika mkutanohuo.
 Mratibu wa Zanzibar Press Club Ali Bakari, akichangia mada katika mkutano huo.  
Muandishi Mkongwe wa Habari Tanzania Salim Said Salim akichangia mada katika mkutano huo Mazungumzo ya Asubuhi kuhusu mada ya Haki ya Kupata Habari na Umuhimu Wake.ilioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania.  

 Waandishi wa Habari na Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar, wakimsikiliza mtoa Mada katika Mkutano wa Mazungumzo ya Asubuhi ikiwa na Mada ya Haki ya Kupata Habari na Umuhimu wake, ilioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons shangani Unguja. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.