Habari za Punde

Mdau Unaufahamu Msikiti huu na Historia yake ya jina la luta.


Wadau wangu msikiti huu una historia kubwa katika mji wa Zanzibar wakati huo na uaijuwa historia hiyo mpaka ukaitwa msikiti luta.

1 comment:

  1. wanaojuwa hebu tunaomba mutufahamishe, manake mie navyojuwa unaitwa msikti wa batashi sasa labda una majina mawili ama vip...
    kuna umuhimu sana kuandikwa historia ya misikini ya Zanzibar hasa ya mji mkongwe ili watu wapate maarifa zaidi.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.