Wadau wangu msikiti huu una historia kubwa katika mji wa Zanzibar wakati huo na uaijuwa historia hiyo mpaka ukaitwa msikiti luta.
MRADI WA BOOST YATIMIZA ILANI YA CCM ELIMU BORA SHULE YA MSINGI ILBORU-
ARUSHA
-
Mradi wa Kuboresha na Kuimarisha Elimu ya Msingi na Awali Tanzania Bara(
BOOST) unaotekelezwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, umekuwa
sehemu ya ...
2 hours ago
wanaojuwa hebu tunaomba mutufahamishe, manake mie navyojuwa unaitwa msikti wa batashi sasa labda una majina mawili ama vip...
ReplyDeletekuna umuhimu sana kuandikwa historia ya misikini ya Zanzibar hasa ya mji mkongwe ili watu wapate maarifa zaidi.