Habari za Punde

Dk Bilal amjulia hali Mzee Kingunge nyumbani kwake

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipofika kumjulia hali nyumbani kwake Victoria jijini Dar es Salaam jana Machi 23, 2013 baada ya mzee Kingunge kulazwa Hospitali ya Muhimbili kwa uangalizi hivi karibuni alipougua ghafla
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mzee Kingunge Ngombale Mwiru, wakati alipofika kumjulia hali nyumbani kwake Victoria jijini Dar es Salaam jana Machi 23, 2013 baada ya mzee Kingunge kulazwa Hospitali ya Muhimbili kwa uangalizi hivi karibuni alipougua ghafla. Kulia ni Mke wa Mzee Kingunge. Picha na OMR

1 comment:

  1. Natumai katiba mpya italizungumzia vizuri suala zima la umakamu wa rais.

    Inasikitisha kuona fedha za walipa kodi zinatumika kukagua mbuga na kutembea temba hukua na kule!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.