Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua maji ya Mfereji kuzinduia Mradi wa Maji Safi na Salama wa Kijiji cha Chwaka,Wilaya ya Kati Unguja, alipokuwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimtwisha ndoo ya maji Asha Mohamed Abdulla,wa Kijiji cha Chwaka,mara baada ya kuzindua Mradi wa Maji Safi
na Salama, Sherehe ya ufunguzi wa Mradi huo umefanyika Kijijini hapojana,alipokuwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini jana
na Salama, Sherehe ya ufunguzi wa Mradi huo umefanyika Kijijini hapojana,alipokuwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,(katikati) Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati,Ramadhan Abdalla Shaaban,(kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja Vuai Mwinyi,na Viongozi wengine wakielekea katika viwanja vya mpira Chwaka katika mkutano na Wananchi baada ya kuzindua rasmi Mradi wa maji safi na Salama,Kijijini hapo jana,ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini Unguja
Wazee wa Kijiji cha Chwaka wakiwa na fuaraha kubwa na kumsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Mradi wa Maji Safi na salama Kijijini hapo jana alipokuwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Chwaka,Wilaya ya Kati Unguja,wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Mradi wa Maji Safi na salama jana,alipokuwa katika ziara ya kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa wa Kusini Unguja
.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
hatari sana miaka hamsini hawa watu walikua hawajapata maji safina na salama?
ReplyDeletesio hilo tu , ni aibu wala si kitu cha kufurahia kuwa watu mpaka leo wabebe ndoo za maji kama inavyoonyeshwa kwenye picha , hivi kweli visiwa hivi vya pemba na unguja eneo lake halizidi 70 x 40 miles kila kimoja mpaka leo maji ni kitu muhimu serikali imeshindwa kuwafikishia wananchi majumbani? haya ndio mapinduzi? au mapinduzi maana yake kuuwa watu?
ReplyDelete