Habari za Punde

Hali ya Mvua yasimamisha shughuli za Biashara.

Wafanyabiasha katika eneo la Darajani ilibidi kutumia miavuli kukinga biashara zao kutokana na mvua inayonyesha katika manispa hiyo na kukosa wateja wa bidhaa hizo katika kipindi hichi wakiwa wamejivunika miavuli kusubiri wateja wao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.