Habari za Punde

Mambo ya Ukarabati Ndani ya Stone Town hiyoooo......

Hivi ndivyo inavyokuwa wakati wa kuyafanyia ukarabati mkubwa wa majumba ya mji mkongwe kwa kutumia miti kuzuiya ukuta wakati ujenzi huo ukifanyika kama inavyoonekana nyumba hii ilioko katika mtaa wa kokoni ikiwa katika ukarabati ukifanyika ili kuiweka nyumba hiyo katika ubora na uimara wake na kuwa na uimara wake kwa kuwa makazi ya wananchi wanaoishi katika nyumba hiyo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.