Habari za Punde

Jaji Aba Akishwa kuwa Jaji wa Mahakama za Haki za Binaadamu

Mhe. Jaji Aba Kimelabalou akiapa ili kuitumikia Mahakanma ya Afrika ya Haki za Binaadamu, hafla hiyo imefanyika Mjini Arusha.leo .
Mhe. Jaji Aba Kimelabalou akitia saini baada ya kuapishwa kuwa Jaji wa kuitumikia Mahakanma ya Afrika ya Haki za Binaadamu, hafla hiyo imefanyika Mjini Arusha.leo  
Mhe. Jaji Mkuu wa Mhakama ya Afrika ya Haki za Binadamu Sophia Akuffo akimpongeza Mhe.Jaji Kimelabalou, baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo leo jijini Arusha (Picha zote na Mahamoud Ahmad Arusha)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.