Beki wa timu ya Chuoni akiokoa mpira golini kwake katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Chuoni imeshinda 2--0
Kizazaa katika goli la timu ya Chuoni wakati wa mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar.
Wachezaji wa timu ya Duma na Chuoni wakiwania mpira katika mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar iliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Chuoni imeshinda 2--0.
Hapa kazi tu ndivyo inavyoonekana mabeki hawa wa timu ya Chuoni wakimuweka kati mchezaji wa timu ya Duma wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar, Timu ya Duma iko katika hatua ya kushuka daraja kutokana na kuwa nafasi ya mwisho ya Ligi hiyo inayoelekea tamati.
No comments:
Post a Comment