ALLY HAPI AZINDUA KAMPENI ZA KISHINDO JIMBO LA SEGEREA
-
NA MWANDISHI WETU
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Tanzania, Ally Salumu Hapi, amezindua
kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Segerea,jijin...
4 hours ago
Ahsante kaka..hebu tuletee picha za zanzibar airport kama imemaliza kujengwa...
ReplyDeleteNimependa jinsi walivyokipamba kwa Nature (kupanda miti katika miji na bara bara za Visiwani ni muhimu sana. kwani hii ndio inazuia uharibikaji wa mazingira. kisiwani Unguja kumekua na Joto kali sana kama vile Bara. hii nikutokana na kua na watu wengi kupita mpaka na kukatwa kwa miti mingi.
ReplyDeleteMajengo yanapendeza na mazingira nayo yanavutia. Tunataraji watoto na vijana wetu watakaopata bahati ya kuhudhuria mafunzo katika chuo hicho watapatiwa elimu bora kwa faida yao na taifa kwa ujumla.
ReplyDeleteHongera sana uongozi wa chuo na Zanzibar kwa ujumla
ReplyDelete